Thursday 12 December 2013

JUST IN............WATU WAFUKIWA NA KIFUSI KWENYE MACHIMBO YA MORAMU SANGO-MOSHI



Kumetokea maporomoko ya kifusi katika machimbo ya Moramu katika eneo la Sango huko Moshi jioni hii.

Kuna watu wamefukiwa ila juhudi zakuwanasua zinaendelea; bado hakujaripotiwa vifo....

nitawaletea updates zaidi baadae!!!
ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI......

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!