Thursday 12 December 2013

AJALI NYINGINE LEO HII, IMETOKEA TANGA, MPAKA SASA WATU 12 WAMEPOTEZA MAISHA, ZAIDI YA 55 KUJERUHIWA VIBAYA


MAJERUHI WALIOPATA AJALI KWENYE BASI LA BURUDANI WAPELEKWA HOSPITALINI KOROGWE KWA MATIBABU ZAIDI


Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.


Majeruhi wakipatiwa matibababu
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.

Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!