Tuesday, 12 November 2013

SHABIKI WA YANGA STEVE SASA NDANI YA MOVIE MOJA NA DR CHEN......ICHEKI HAPO!

Umaarufu wake umetokana na kulia kwenye matukio kadhaa yaliyomuhuzunisha ikiwemo Yanga ilipofungwa 5 na Simba na hata alipokosa nafasi kwenye shindano la BSS, umaarufu wake wa kulia tu ulifanya mpaka baadhi ya media za Kenya kuja kumuhoji Tanzania. Pamoja na hayo, Steven aligundua ana kipaji cha kuigiza na kujaribu kuomba nafasi kwa waigizaji kadhaa Tanzana lakini bila mafanikio….. mpaka siku chache zilizopita Dr. Cheni alipomsikiliza na kuamua kumpa nafasi. Tayari wameshaanza kucheza movie hii ambayo itakua ya kwanza kwa Steve kuigiza, inaitwa ‘Nimekubali kuolewa’ ambapo Dr. Cheni anamchukua mke wa Steve, Steve anahuzunishwa na hicho kitendo na kuanza kulia…. hii video hapa chini ni sehemu ya scenes alizocheza Stev….. movie inakuja soon Video:

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!