Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita leo asubuhi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati Rais Kikwete alipozindua Wodi ya akina mama leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita leo(picha na Freddy Maro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment