skip to main |
skip to sidebar
MSAADA MTOTO KHADIJA OMARI ANAOMBA MSAADA ... TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII...
Mtoto Khadija Omari mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano anaomba msaada wa upasuaji wa uvimbe mkubwa alionao kwenye kitovu,hivi sasa mtoto huyu ameelazwa wodi namba 3 ghorofa ya tisa hospitali ya rufaa bugando jijini Mwanza kwa uchunguzi wa kina wa kitatibu wa kidonda kabla ya hatua ya upasuaji kufanyika.yoyote mwenye mchango wa kuokoa maisha ya mtoto huyu mkazi wa nyakato manispaa ya Musoma anaweza kuwasiliana na George Marato wa ITV na Redio One kwa namba namba za simu zifuatazo 0767 446518,0787 446518 au 0713 446518,kila utakachokitoa utalipwa na kuzidishiwa na mwenyezi mungu.
No comments:
Post a Comment