Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alkokuwa akipata matibabu.
Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani Novemba 13, mwaka huu nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kulazwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi) na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Milpark, Johannesbarg, Afrika Kusini.

: Kwa mujibu wa Hussein Bashe Bashe "Dr Sengondo Mvungi Is No More,Taarifa kutoka Milpark Hospital DR Mvungi Amefariki,Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu.Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.
ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI .....
ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI .....
No comments:
Post a Comment