Msanii maarufu kwa jina la Blandina Chagula(Johari) ametimkia nchini Canada kumfuata mpenzi wake wa kizungu ambaye amemwalika akaone na kusalimia ukweni...
Muda mfupi baada ya Johari kutimkia Canada, Irene
Uwoya ambaye ni rafiki wa karibu na Johari alitundika picha ya johari katika mtandao wake yenye ujumbe mzito wa kumtaka aache mapepe kwa kuwa wazungu hawapendi kuchezewa kimapenzi kama wanavyochezeana bongo movie....
"Yaani wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili....sasa ukifika Canada usinisahau ....maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa".A
"Yaani wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili....sasa ukifika Canada usinisahau ....maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa".A
No comments:
Post a Comment