Monday, 11 November 2013

BREAKING NEWS........ TANGAZO LA MSIBA BUNGENI DODOMA....


Katibu wa Bunge, anasikitika kuwataarifu kifo cha mtumishi wa Ofisi ya Bunge ktk idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema kilichotokea jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk hospitali ya mkoa, Dodoma.

 Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi kwa kushirikiana na familia ya marehemu, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kutokana na msiba huo. 

 Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen! 

 11.11.2013. 

Michuzi Blog

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!