Saturday, 12 October 2013

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA KATIKA BARABARA YA MOROGORO-IRINGA.


PICHA HII HAIHUSIANI NA HABARI HII........



Wahamiaji haramu wanaodhaniwa kutokea nchini Somalia, wamekamatwa katika barabara ya Morogoro na Iringa, wakiwa wanasafirishwa kwenye lori lililobeba shehena ya mizigo ya chokaa na inasemekana kuwa hali zao ni mbaya kwa sasa, kutokana na kuathiriwa na chokaa hiyo. Mpaka sasa Ambulance ya Polisi inawapeleka wahamiaji hao katika Hospitali ya mkoa. Wahamiaji wamegundulika baada ya mmoja wa wahamiaji hao kuanguka na kupoteza fahamu, katika eneo la kuoshea magari ambapo lori hilo lilikuwa likisafishwa...

ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI..........

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!