Haya ndio maandalizi ya bibie Penny kwa ajili ya Birthday ya Mpenzi wake Diamond
HAYA NI MANENO YA DIAMOND ALIYOANDIKA...
Options
Diamond Platnumz · 109,581 like this.
14 hours ago ·
AnonymousOctober 4, 2013 at 10:02 AM
PENNY URAFIKI WOTE NA WEMA UNAKUJA KUTEMBEA NA BWANA WA MWENZIO ?? KWA HIYO ULIKUWA UNAMUONEA WIVU ? HATA UFANYEJE MWAYA DHAMBI HII INAKUFUATA TU !
desa paradaOctober 4, 2013 at 11:32 AM
Ni mtazamo tu, Pensel anakuwa mwingi wa kumkumbatia Dimondo, kipindi cha Madame walikuwa na makumbato kwa pamoja, kila wapigapo picha, huonesha ushirikiano wa mahaba, macho yao, midomo na mikono. ila hapa kama pale Pensel anabusu kwa hisia na macho yamefumbwa ila Mr Ngololo yeye kama anashtuka hivi, macho makavu yamemtoka.
- AnonymousOctober 4, 2013 at 6:02 AM
- he he he he ceo kasema maviii@huyo pensel naye na mlemba kama bi mkora cjui nani alimdananya
- AnonymousOctober 4, 2013 at 6:11 AM
- Habari ya kuchora moyo kitandani kwa roses haijanoga achia mbali kupewa birthday cake mmh mmh. Diamond atamiss sana penzi la Wema, she is classy!
AnonymousOctober 4, 2013 at 7:41 AM
leo mtalisoma shuka kimya kimya kawapaje la uso sasa
AnonymousOctober 4, 2013 at 2:55 PM
kwendeni kule, nani awaonee wivu? watu wanaojiita masupastaa tutawafatilia adi wanapoingia au tunapoingia ktk nyumba zetu za milele. si wanaanika wenyewe mambo yao. sasa inahuu kuanika kitanda mitandaoni afu unasema tuwaache, haachwi mtu, wao wanatubip ili tuwapigie nasie vocha zipo tunatwanga mfululizo na halali mtu adi kieleweke.
- AnonymousOctober 4, 2013 at 1:25 PMHuyo penseli sura kama kaburi la kiwete
AnonymousOctober 4, 2013 at 12:07 PM
Ha ha ha et peny yuko mbali na media hiki n nn? Angekua hayupo bas hata instagram asingejikamua kuandika hata uko insta anatumia nguvu nying saaaaana. Kilichomfanya atanngaze anamimba? Iko wap? Diamond anatomba wanawake kila siku anajidai haoni... wema hata hana muda nao anatumia nguvu kubet nae bure tu,wema was 1st na pete alivishwa na wema ndo alimuacha yule mwanaume baada ya kucheat na jokate ndo akabak daily kumsema ovyo ushasikia wema anamsema diamond? Kimyaa hana hbr wambea n watu wanaomchukia peny ndo wanajifcha kwa mgongo wa wema. Uyo diamond hatumpend mswahil kama uyo peny wake bora wafe tu tumewachoka baby mama my foot nataman mfarik tu.
ReplyDelete
AnonymousOctober 4, 2013 at 10:39 AM
Mwanamke una roho mbaya kama mamba wewe,,,'Wema is classy'anakulipa kamishen nn!!!Penny ana kitu gani kinachowafanya nyie wajaa wivu muone kama hafai kuwa na Diamond. kwani huyu mwanaume ana nn cha tofaut mpaka mumchagulie mwanamke kama malaika.wengine et hawaendani kutwa kucha walimwengu nyie kumsakama mtoto wa watu.ana sifa zooote anazotakiwa kuwa nazo mwanamke wa sasa so muacheni Penny.huyo mnaemuona malaika,ooh mzur oooh ndo wanaendana mbona walishindwana???Penny enjoy yo time mkishindwana pia sio mbaya hakuna ajuae nani atakua nae milele.
AnonymousOctober 4, 2013 at 12:14 PM
PENNY....KUTESA KWA ZAMU, BIDADA KULA NDUDE YA NDOMO KWA ROHO ZAKO, INYONYE KABISA..WENYE WIVU WAJINYONGE KWA BIG G...HALOOO
AnonymousOctober 4, 2013 at 9:56 AM
Hivi Diamond akikubwaga utaficha wapi huo uso wako, mhhhhhhhhhhhhh langu jicho, Mungu nipe uhai nione mwisho wa hii muvi
ReplyDelete
AnonymousOctober 4, 2013 at 10:00 AM
Maskini Pennyl,anatumia nguvu nyingi saana kuprove kuwa anapendwa..Imagine unamlisha keki mpnz badili akukumbatie ndo kwaanza kakunja mikono kama anafuinga swala,Cha!
Penny unapendwa na kina Halima Kimwana,Esma na labda mkwe lkn Diamond NO...Soma alama za nyakati
Penny unapendwa na kina Halima Kimwana,Esma na labda mkwe lkn Diamond NO...Soma alama za nyakati
AnonymousOctober 4, 2013 at 9:53 AM
Diamond kasema " na tuwaache washangae, we call it love