![]() |
Baadhi ya ndugu wa marehemu Anthery Mushi wakilia kwa uchungu walipokuwa wakitoa salamu za mwisho Muhimbili leo. |
![]() |
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Anthery Mushi wakiwa na majonzi katika Hospitali ya Muhimbili. |
![]() |
Ndugu wakipita kuaga mwili wa Anthery Mushi. |
![]() |
Gari lililosafirisha mwili wa marehemu kutoka Dar es Salaam hadi Kijijini Uru, Timbirini Mkoani Kilimanjaro likiingiza mwili huo tayari kwa safari hiyo. |
![]() |
Ni vilio, simanzi na majonzi kwa wanandugu wa Mushi. |
No comments:
Post a Comment