Jeshi la Polisi Kanda maalum ya DSM limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 baada ya jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 30 kuteketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule asubuhi ya leo.Mashuhuda wamedai abiria walijitupa majini.
IPP MEDIA.
IPP MEDIA.
No comments:
Post a Comment