Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake juzi usiku wakati hafla ya chakula cha usiku kati yake na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ wa mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam.(Picha zote na Magreth Kinabo -Maelezo) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake juzi usiku wakati hafla ya chakula cha usiku kati yake na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ wa mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(mstari wa kwanza wa wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja juzi usiku wakati hafla ya chakula cha kati yake na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ na wadau mbalimbali kuhusu mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam.
Dk. Godfrey Mbaruku akitoa uzoefu wake katika taaluma ya wakati hafla ya chakula cha kati yake na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ wa mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Kinga,Dk. Neema Rusibamayila akitoa hotuba yake kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi wakati hafla ya chakula chana wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ wa mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment