Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana (Mb) akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati wakati wa kupitia muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria Mbalimbali ( Miscellaneous Amendment Act 2013) wakati wa vikao vya kamati vinavyoendelea Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Mhe. William Ngereja (Mb) akijadili jambo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Pindi Chana (Mb) wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria Mbalimbali ( Miscellaneous Amendment Act 2013) Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo Mhe. Mustapha Akunay (Mb) nae akichangia Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Habari Maelezo Ndg. Raphael Hokororo ambaye mojawapo ya sheria zitakazofanyiwa marekebisho zinasimamiwa na idara yake akisikiliza michango ya wabunge wakati hicho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment