ITV imeshuhudia jitihada za jeshi la polisi na kikosi cha zimamoto na uokoaji wakishirikiana na wananchi katika kuondoa mwili wa marehemu ambapo wakizungumzia tukio hilo baadhi ya mashuhuda wamesema marehemu alikuwa akichomelea vyuma ndani ya tenki hilo lililokuwa limeharibika ambapo gafla ulitokea mlipuko na kupelekea marehemu kukosa hewa ingawa jitihada za kumtoa akiwa Hai zilishindikana kutokana na kukosa hewa.
Kwa upande wake mwakilishi wa zamu wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Morogoro Masoud Ramadhan amesema uchunguzi wa haraka uliofanyika umebaini kuwa baada ya kutokea mlipuko uliosababishwa harufu kali ya mafuta ndani ya tank hilo na ambapo mamehemu alikosa hewa
No comments:
Post a Comment