Thursday, 19 September 2013

RAY C NA MAMBO YA JAGUAR, HII NDIO GARI YAKE MPYA ALIYONUNUA....



STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’  ameamua kuianika  gari  yake  ambayo anatembelea kwa sasa ...

Gari  hilo  ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family...

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!