RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA ITALIA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepokea hati za utambulisho za Balozi mpya wa Italia katika Tanzania Dkt. Luigi Scotto.
Mapokezi hayo yalifanyika katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete amemtaka Balozi huyo mpya kuisaidia kuyashawishi makampuni zaidi ya Italia kuja kuwekeza na kuboresha mahusiano ya kiuchumi wa baina ya nchi hizo mbili.
No comments:
Post a Comment