Kaimu Meneja Kiongozi Uhusiano na huduma kwa wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Theopista Mheta (Kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 15, Meneja Uhusiano wa kampuni ya Capital Plus International, Bw. Geoffrey Nangai (kushoto) ikiwa ni sehemu ya udhamini wa mbio za Rock City Marathon za mwaka 2013. Wakishuhudia ni Afisa uhusiano mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu (wapili kulia) ni Ofisa Uhusiano wa mfuko, Bi Carolyne Newa. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment