MSIBA BONGOMOVIES: Mwanadada Zuhura Maftah (Malisa) hatunaye
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji wa bongo movies Zuhura Maftah ama Malisa (Pichani) amefariki dunia leo hii.
Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake tutaendelea kuwahabarisha tutakapopata habari zaidi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake tutaendelea kuwahabarisha tutakapopata habari zaidi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

No comments:
Post a Comment