Friday, 13 September 2013
JUST IN.......PADRI WA KANISA LA KATOLIKI LA PAROKIA YA CHEJU ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI
Padri wa kanisa la Katoliki la Parokia ya Cheju Zanzibar, padri Anselmo Mwangamba amejeruhiwa vibaya usoni na kifuani baada ya kumwagiwa tindikali.
TUTAENDELEA KUKUHABARISHA.. ENDELEA KUWA NASI.KWA HABARI ZAIDI..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment