Thursday, 19 September 2013

JK ATEMBELEA CAPITOL HILL

 


 Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongozana na Mhe. Bernard Waziri Membe na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula tayari kuelekea Capitol Hill  kuendelea na ziara yake nchini Marekani. Rais Kikwete aliwasili Washington, DC   Jumatano Sept 18, 2013 asubuhi  akitokea California
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na Halima Mamuya na H.V. Street wamiliki wa AmeriTan International ya Louisiana

Juu na chini ni Rais Dkt Jakaya Kikwete akijiandaa kuingia kwenye gari kuelekea Capitol Hill kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Gari lililomchukua Rais Dkt. Jakaya Kikwete likiondoka kuelekea Capitol Hill.
 
Habari kwa hisani ya Sunday shomari blog.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!