skip to main |
skip to sidebar
JACK WOLPER AWATAKA WASANII WA KIKE WAJIHESHIMU KWA KUTOVAA MAVAZI YASIYOSTAHILI..
Muigizaji wa filamu za kibongo maarufu kwa jina Jackline Wolper amewaasa waigizaji wenzake wa kike kuacha kuvaa nguo za nusu uchi kwani ni kinyume na mila na tamaduni za kitanzania .
Wolper aliyasema hayo kufuatia kupigiwa kura na kushinda kama muigizaji wa kike mwenye muonekano wa kistaa...
No comments:
Post a Comment