KIJANA Gilbert Kisinde ambaye amekuwa akiyapitisha maisha yake kwa mateso kitandani tangu apate ajali ya kugongwa na gari la kazini kwake katika kampuni ya Konoike zaidi ya mwaka uliopita anaomba Watanzania wazidi kumsaidia kwa hali na mali.
Kisinde anayeishi Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam, aligongwa na gari la kazini eneo la Tangi Bovu wakati wa ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo, amejikuta hapati msaada kutoka kwa mwajiri wake ambapo anahitaji ‘pampers’ kwa ajili ya haja kubwa, mipira ya kukojolea, chakula na mahitaji mengine.
Pamoja na Wasamaria Wema kumchangia kiasi cha sh. 300,000/= anaomba atakayeguswa na matatizo yake amchangie kupitia simu namba 0713 612533.

(PICHA: IMELDA MTEMA, GPL)
No comments:
Post a Comment