Monday, 19 August 2013

ZANZIBAR KUNANI? MTAWA WA KANISA LA KATOLIKI AMESHAMBULIWA NA KUUMIZWA VIBAYA HUKO ZANZIBAR.

 

 

Taarifa zilizotufikia zinadai kuwa Mtawa wa Kanisa Katoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya huko Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa...

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!