Friday, 30 August 2013

YOTE TISA KWA HILI DIAMOND NIMEKUPENDA BUREEE! CHEKI GARI ALILOMZAWADIA MZEE NGURUMO HILI HAPA...



Muonekano wa ndani


 


Jamani Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni, Bwana kaka kajitahidi lazima tukubali..sasa wangapi wanauwezo lakini ndiyo hivyo tena,  kwa mpango huu acha abarikiwe! MI namfagilia! wengine wanamifweza ya kumwaga lakini roho ndio utasema wamekunywa Tindikali....

SALUTEE DIAMOND....


 
 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!