
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.
Agosti 16, 2013 majira ya saa 10:46 jioni Polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4













No comments:
Post a Comment