Ndo yule wa Nai Nai na Baadae....Ukisikia maneno haya basi utajua ni mistari iliyopo kwenye ngoma mpya ya Msanii Omary Nyembo a.k.a Ommy
Dimpoz C.E.O wa Pozi kwa Pozi Entertainment anaetamba na kibao chake kipya ''TUPOGO'' alichomshirikisha Msanii machachari toka Nigeria J.Martins,lakini hapa sipo kuzungumzia Sana undani wa ngoma hiyo bali nipo hapa kukujuza wewe Shabiki wa Mr Pozi kwa Pozi kuwa Mnamo tarehe 21 mwezi huu Ommy atakuwepo nchini marekani jijini Washington Dc.
Kama wewe shabiki wa Ommy Dimpoz na mpenda Bongo Fleva basi the kid from Tanzania atakuwepo jijini Washington Dc kwa Ziara ya wiki mbili na kupoga show tano tofauti ndani ya Washington na vitongoji vyake.....
Kama upo Washington Basi ebu acha kutia huruma wewe kaa mkao wa kula uende nae sawa toka Baadae na mpaka sasa bado yupogo..!!
|
No comments:
Post a Comment