Nyota huyu wa filam Lee Thompson alikutwa amekufa nyumbani kwake kwa kile kinachoaminika kuwa amejipiga risasi akiwa na umri wa miaka 29 tu.Meneja wake Johnathan Baruch alithibitisha habari hiyo kupitia yahoo. Angalia moja ya kazi zake hapa.
CREDIT SUNDAY SHOMARI.
No comments:
Post a Comment