Kile kitu watnzania wengi walichokuwa wanakisubiria kujua undani wa ukaribu wa Jokate na Producer Lucci sasa Leo kujulikana baada ya kusubiria kwa siku 4 leo kupitia luninga yako Jokate Urban Mwegelo na Lucciano watatambulisha Nyimbo yao mpya kuanzia mida ya saa 4 usiku saa za Afrika Mashariki kwenye Channel za kawaida za nchini, Don't miss this out,ni mapinduzi ya kweli kwenye muziki....
|
No comments:
Post a Comment