Mtoto Nassoro akipokea msaada kutoka kwa mwandishi wa Global, Imelda Mtema, huku akiwa amebebwa na mama yake.
MTOTO Nassoro Karim aliyekuwa anasumbuliwa na uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake amepata msaada kutoka kwa wasomaji mbalimbali baada ya habari ya mtoto huyo kuandikwa kwenye gazeti la Uwazi linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd
(PICHA: IMELDA MTEMA, GPL)
No comments:
Post a Comment