Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. . Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment