Friday, 2 August 2013

KESI YA WEMA MAHAKAMA YAFURIKA.

Musa Mateja na Shakoor Jongo

KESI ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao Meneja wa Hoteli, Goodluck Kuyumbu inayomkabili Staa wa Filamu, Wema Isaac Sepetu imeunguruma Jumatano iliyopita katika Mahakama ya Mwanzo Kawe jijini Dar na watu kufurika pomoni, Ijumaa linakumegea kilichojiri.
Katika mahakama hiyo watu walifurika kwa lengo la kutaka kumuona Wema aliyepandishwa mbele ya Hakimu, Bernice Ikanda

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!