Friday, 23 August 2013

JUST IN....MAJAMBAZI JIJINI ARUSHA WAMEWAPIGA RISASI WAFANYABIASHARA 2 WA MADINI YA TANZANITE NA KUPORA MADINI YENYE THAMANI ZAIDI YA MILIONI 90 NA FEDHA TASLIM MILION TANO.

 




WAKATI  HUOHUO TAARIFA ZINASEMA

Madini ya vito na dhahabu yenye thamani ya Sh. Bil 13.17 yakamatwa yakitoroshwa

 Wakala wa madini nchini imekamata aina mbalimbali za madini ya Vito na Dhahabu yenye jumla ya thamani ya Sh. Bilioni 13.17 yaliyokuwa yakitoroshwa kupitia viwanja vya ndege vya Dar es Salaam, Mwanza na Kilimanjaro katika matukio 23 tofauti kati ya Septemba 2011 hadi Agosti 2013 yaliyohusisha raia 20 wa kigeni na Watanzania watano ambao kesi zao bado zinashughulikiwa

CREDIT IPP MEDIA.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!