Hofu kubwa imewapata waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT usharika wa Kijitonyama, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kurushwa kanisa hapo. Polisi walifika kanisan hapo na kuondoka na kitu hicho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment