Thursday, 22 August 2013

JUST IN ....ABIRIA 6 NA RUBANI 1 WA NDEGE YA TANZANIA WANUSURIKA KIFO

 
 Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokeaBukoba kwenda Dar Es Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani .Ndege hiyo ilikuwa na abiria 6 na rubani 1 ambapo wote wamejeruhiwa na kukimbizwa katika  Hospitali ya Seliani Mijini Arusha kwa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!