Monday, 5 August 2013

ISHA MASHAUZI SASA KUJULIKANA KAMA "SUPER WOMAN" SOMA COMMENT HAPO CHINI KUHUSIANA NA HILO NENO LA KICHUNA ISHA KUBADILI JINA....


 
 
 
Mkali wa Taarab ISHA MASHAUZI sasa ataka kujulikana kama SUPER WOMAN baada ya kutumia jina la JIKE LA SIMBA kwa muda mrefu. Sababu za kuachana na jina hilo la Jike la Simba, Isha anasema limevamiwa na watu wanaopenda kukopy hadi majina na wengine hata kujiita Jike la Mbwa....
 
 
 
AM
mmmmmmmmmmmmmmmh SUPER WOMAN?????? kwa lipi ulilofsnyis jsmii??? au ni hayo madongo yako ya kwenye taarabu na kulalamika kutwa kuchwa kuwa watu wanakuonea donge... SUPER WOMAN analalamika??? SUPE WOMAN anatafuta fursa na kuzigrab. Hapo ulipo ni ahsante kwa mzee yusuph sasa una USUPER WOMAN upi wakati maendeleo yako yamechochewa na Mwanaume??? HUMUONI KIRIA JOYCE yeye alikuwa HOUSE GIRL and she is proud to say that. Nyie kutwa kuchwa mnakataa historia zenu afu ndo ujiite SUPER WOMAN??? YOU ARE NOT SERIOUS AND YOU MUST BE JOCKING GIRL... WEWE NI JIKE LA SIMBA MAANA UNALOLIWEZA NI KUWINDA NA KUKWAPUA BAAAAAAAAAAAASI.... SUPER WOMAN WAACHIE WENYE KUJUA WANACHOKIFANYA DUNIANI HAPA....
 
 
 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!