Monday, 5 August 2013

HIVI KWELI TUMEFIKIA HAPA? MIMI SIKUIPENDA HII...


Nisamehe jamani! Mary au Mama Gilo akiomba msamaha baada ya kula kichapo cha kutosha.
Na Hamida Hassan

NDANI ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jimama mwenye hadhi yake ambaye ni mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Mary au Mama Gilo, mkazi wa Sinza jijini Dar amekula kichapo cha kutisha almanusra apoteze uhai baada ya kunaswa akiiba nguo kwa ajili ya Sikukuu ya Eid El Fitr.…
GPL

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!