Monday, 26 August 2013

HIVI KWELI TUMEFIKIA HAPA? HUYU KIJANA KAUAWA KWA KUIBA MKAA HII INANIUMA SANA..

 

Kijana mmoja achomwa moto na kupoteza maisha papohapo baada ya kuiba mkaa maeneo ya Mbagala Charambe..
Hivi jamani kwanini tunapenda kuchukua sheria mikononi mwetu? kwanini huyu kijana asipelekwe polisi, sasa mnamuua kwa sababu kaiba mkaa, no yaani sitaki kuamini kama watanzania wamefikia hapa, mimi inaniuma sana jamani tusiwe na roho za kinyama namna hii, si kuna sheria? kwanini inakuwa hivi? na hii inaonyesha jinsi gani tulivyo na roho za kikatili hebu angalia hao waliosimama pembeni, hakuna hata mwenye huruma na huyu kijana? NAKEMEA HII KITU SIIUNGI MKONO HATA!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!