Monday, 5 August 2013

FEZA AENDELEA KUPETA NDANI YA BIG BROTHER MPENZI WAKE ATOLEWA


Hatimaye Mshiriki wetu aliyebakia ndani ya jumba la Big Brother Feza amefanikiwa kubaki ndani ya jumba hilo baada ya kuwekwa kwenye kikaango cha kutolewa leo....Badala yake ametolewa mpenzi wake Oneal...kitendo ambacho waafrica wengi wamekifurahia kwasababu alikuwa anamfanya FEZA kutokuwa yeye ...Alimcontrol sana FEZA so tunategemea kumuona FEZA yule wa zamani,

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!