Thursday, 29 August 2013

DIAMOND AMKABIDHI NGURUMO GARI AINA YA "FUNCARGO`` ASIKITISHWA NA KAULI YA MZEE NGURUMO KUSTAAFU BILA KUWAHI KUMILIKI GARI MAISHANI MWAKE..


Diamond Platinum baada ya kumaliza kutambulisha video ya wimbo wake mpya Number One kwa heshima aliamua kumwita mbele msanii mkongwe 'Ngurumo' na kumkabidhi gari ya aina ya Funcargo

Sababu za kumpa gari alisema amesikitishwa sana baada ya kusikiliza Ngurumo toka enzi za ujana wake hajawahi kumiliki gari mpaka kustaafu kwake<

1 comment:

Anonymous said...

hongera sana Diamond umeonyesha mfano mzuri sana kwa wasanii wenzio,keep it up Diamond

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!