Juzi actress maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) alifanya shopping ya nguvu kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya Foolish Age ambao unafanyika leo Mlimani City, Dar es salaam. Moja ya vitu alivyonunua Lulu ni gauni lenye thamani yadola za kimarekani $1,350 ambalo lilikuwa ni order maalum na ameshukuru limekuja kwa wakati. Muigizaji huyo mwenye mvuto licha ya kutokuwa sokoni na filamu nyingi mwaka huu lakini bado anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali katika media na mitandao ya kijamii.
Pia alipata tuzo ya muigizaji bora wa kike wa filamu za kiswahili kutoka Zanzibar International Film Festival(ZIFF). Follow her on twitter LULU
Lulu alipofanya shopping juzi katika duka la Beauty Point.
No comments:
Post a Comment