Friday, 5 July 2013
RAIS KIKWETE KUWA REFA MECHI YA WABUNGE KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI,
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalo fanyika Jumapili hii, Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aidha, Rais atahutubia katika tamasha na pia atakuwa refa wa mechi za wabunge wa Yanga na Simba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment