Friday 5 July 2013

NENO LA LEO TOKA KWA HAFSA KAZINJA

Kamwe" usikumbuke MATATIZO yaliyopita sababu yanaumiza sana,na usiwaze yajayo sababu YANATIA HOFU, maisha ni hapo ulipo,MALENGO ni kielelezo cha maisha bora yajayo.tazama MBELE kwa KUJIAMINI,NYUMA kwa TAHADHARI NA ULIPO kwa MATUMAINI ,CHAPA KAZI na mtangulize MUNGU,kuwa mtu wa ibada,daima tizama walioko CHINI ili upate KUMSHUKURU MUNGU,na kamwe usibabaishwe na walioko JUU YAKO UKAMKUFURU MUNGU,HAKUNA KAMA WEWE,JIVUNE WEWE

 

 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!