Sunday 28 July 2013

MTOTO AOKOTWA KATIKA JAA LA TAKATAKA HUKO MOMBASA.....


Mtoto wa umri wa siku moja ameokolewa kutoka jaa la takataka la bakarani huko Mombasa . Kulingana na mama anayedai alimwokota, mtoto huyo alikuwa amefunikwa kwakaratasi ya nailoni na kuingizwa ndani ya sanduku kabla ya kuachwa kwenye eneo la kutupa taka la bakarani. Lakini anavyoripoti ferdinand omondi, huenda mtoto huyo hakuwa ametupwa kamwe














No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!