Wednesday 3 July 2013

MTOTO AMEOKOTWA AKIWA AMETELEKEZWA NJE YA CHUO CHA USATAWI WA JAMII ......ALIYEMTUPA HAJULIKANI

 
Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo



Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria mwema.
Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!