MWANDISHI WA HABARI WA STAR TV AMINA SAIDI AKIJARIBU KUKETI KATIKA TOFARI KUJARIBU KUANDIKA KAMA AMBAVYO WANAFUNZI WA DARASA LA PILI WA SHULE YA MSINGI UHURU WANAVYOANDIKA |
KILIO CHA SHULE HIYO KIMEANZA KUSIKILIZWA NA WADAU ZIKIWEMO TAASISI MBALIMBALI ZA KIFEDDHA AMBAPO BENKI YA POSTA TANZANIA ILIJITOLEA MIFUKO 100 KWA AJILI YA KUSAIDIA UJENZI WA SHULE HIYO |
No comments:
Post a Comment