JUST IN.........RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AMETUA NCHINI TANZANIA....
Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake…
makundi ya wananchi wa Dar es salaam walikishangilia wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipopita kuwasalimia.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment