Na Mwandishi Wetu
KIUNGO nyota wa zamani Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ na beki Juma Nyosso, wataanza maisha mjini Tanga kwa kuishi kwenye nyumba ambayo imewekewa ‘AC’ au kiyoyozi kwa muda wote watakaokuwa mjini humo.
Hatua hiyo itawafanya wachezaji hao waishi kama wapo Ulaya.
Uongozi wa Coastal Union umesema umeamua kukodisha hoteli moja maarufu ya mjini humo ambayo iko kwenye ufukwe na kuifanyia ukarabati wa hali ya juu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment