Saturday, 1 June 2013

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIWA NYUMBANI KWAO MKOANI KATAVI

 IMG_0241 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye mwenyewe May 31, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0267 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye mwenyewe May 31, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0299 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bibi Marietha  Mkata wa kijiji cha  Kibaoni  wilayani Mlele wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake May 31, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0305

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!