Monday, 3 June 2013

WATANZANIA WAISHIO AFRIKA YA KUSINI WAUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MSANII WA HIP POP NCHINI MAREHEMU ALBERT MANGWAIR



Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini...

Mwili  wa  marehemu  utaletwa Tanzania  kesho  saa  nane.....





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!